NAFASI YA MAKTABA ZA UMMA NCHINI

NAFASI YA MAKTABA ZA UMMA NCHINI

NAFASI YA MAKTABA ZA UMMA NCHINI

By Gibson J.E Mdakama | August 2018

UTANGULIZI

Maktaba za umma ni moja ya vyombo muhimu sana katika ukuaji wa ubora wa elimu nchini. Umuhimu wa kuwa na maktaba za umma nchini kwa sasa umekuwa ni sehemu kuu ya mahitaji ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla katika kuhakikisha taifa linasonga mbele katika Maendeleo ya Elimu pamoja na uchumi wa nchi hasa kuifikia nchi ya uchumi wa viwanda  kama tulivyojiwekea malengo hayo kupitia Sera ya Maendeleo ya nchi ya 2014/15-2024/25.

Bofya hapa kusoma zaidi

Close